Sunday, 9 February 2014

MANSOUR UCHAGUZI WA KIEMBESAMAKI NIMEWAPIGIA CUF


Mh,Mansour Yussuf Himid hivi karibuni nilikuwa mwakilishi wa ccm na nilifukuzwa kwa sababu ya msimamo wangu wala msinipe pole nipeni hongera pengine nimeepuka na balaa kubwa mimi mwenyewe sikuwahi kuhuzunika,nimefukuzwa sijui kwa sababu gani hadi hivi sasa.Tofauti yangu na wenzanu nadhani ilikuwa ndio tofauti na wenzangu na ndio maana nikafukuzwa,muda wangu wote nikiwa waziri kila siku nilikuwa nasikia kero kero za muungano hazikuwahi kutatuliwa muda wote huo amazo zilipaswa kutatuliwa ili a sisi tuwe watu wenye hadhi yetu.Niliwaambia wenzangu huu ndio muda pekee wakujinasua tuzungumzeni,nakwanini tuwazuie wananchi kuzungimza jambo hili!mimi kama MansoUr niseme wazi sina matatizo na muungano lakini sio huu na ntaendelea siku hadi siku kupinga muungano huu,maana ya mapinduzi nikuwa huru kujitawala na sio kutawaliwa kama ilivo hivi sasa.


Ivi kweli wazanzubar hatuna busara na akili ya kuamua na kupima mpaka tuamuliwe na tanganyika,bahati mbaya yamedhihiri na nikafukuzwa,mtu hagombani na asipotakiwa,kama ninavowaambia mtu hugombani na mwenye chake,mimi ntakuwa mnafiki nikisema sikufaidika na chama cha mapinduzi nimefaidik nacho.Mzee Mandela amesma maneno ambayo yamekuwa kivutio kikubwa kwangu na alisema hivi,uhuru siomkukata minyororo tu baada yake nikuwa huru kwa kuheshimiana kwa kila mtu.Tatizo langu lilipoanza kwa ccm ni vitisho lakini sikuwahi kutishika kwa vile ni mwananchi wa ndani ya jamuhuri ya zanzbar mimi sikuweza kufata matakwa yao mimi sikuwa mtumwa wao,wananchi wote tipo sawa isipokuwa niungwana tu wakuekeana hishima.

Mimi nampenda sana maalim seif na ameniweza sana kwa sasa nihoi na simwanachama wa cuf lkini ni mpenzi wa maalim seifn kwa sababu nimepima na kushuhudia mengi sana kuhusu yeye.

Inakuwaje ndani ya zanzibar watokee watu walazimishe wenzao wasiotaka mfumo fulani wa serikali ati wahame hahami mtu hapa wahame wao,sisi siwatumwa watu fulani ni wazanzibar tuliotoka kwenye mapinduzi ya mwaka sitini na nne.


Nilipokuwa ccm tulikuwa tukiambiwa hakuna mtu mbaya kama Maalim Seif,lakini mara tuu baada ya kufukuzwa ccm niligundua siri kubwa tulifanya tunavofanya lakini Maalim seif alishinda.

Baada ya kutimuliwa kila nikiamka nashukuru amenijalia furaha na kuswali kuomba msamaha makosa yangu yote,kila nikipita maeneo ya unguja wananipa hongera tena wengine ni watu wakubwa serikalini kila siku zikienda wanazodi.

CUF sio majini ukweli wapp wengi na ndio maana yukawa tunapata tabu nilipokuwa ccm na hadi sasa watu wanaendelea kupata tabu,nataka niwaambie cuf musivunjime moyo simameni na nguzo ya Mwenyezimungu na muungemi mkono maalim seif,pengine safari yenu itakuwa ndefu lakini mutafika kuweni na subra wana CUF.

Mimi nikija Pemba hapa nikwetu na hakuna mtu atakaeweza kuniambia rudi kwenu hapa ni kwetu na ndio maana najivunia uzanzibari wangu.

Maalim seif nakuomba stahamili sana matusi yatazidi Maalim wazanzibar wanahitaji uwongozi wako,tunalia ndani ya nafsi zetu kuna wazanzibar walio wengi wanahitaji busara zako.

Uchaguzi wa kiembe samaki nimempa kura yangu mgombe wa CUF.

No comments: