Friday, 7 March 2014

MAKALA YA ROYAL FAMILY INAENDELEA !

Aliekuwa waziri wa Fedha Dr William Mgimwa baada yak ufariki huko Afrika kusini jimbo lake linarithiwa na MWanawe !
Wiki hii  nimeanza kusoma kitabu nilichoazimwa na msomaji wetu, Ulimwengu Manzi, kinachoitwa  In Praise of Nepotism. Kitabu hicho cha kurasa 565 kilichoandikwa na Adam Bellow kinafikirisha unapokisoma.In Praise of Nepotism kinazungumzia suala la kupeana madaraka kindugu au familia ‘kubebana’ kisiasa au kibiashara katika Marekani – suala ambalo limeibua mjadala mkubwa unaoendelea katika taifa hilo.
Inazungumzia u-ndugunaizesheni kwa mapana na marefu kama vile u-ndugunaizesheni wa waasisi wa taifa (Nepotism of Founders), u-ndugunaizesheni wa wakoloni(Colonial Nepotism), na hata usanii wa u-ndugunaizesheni (The Art of Nepotism).Ni kitabu kinachosisimua, hasa kwa sababu wengi wetu hatutarajii taifa kama Marekani linaloaminika kuwa na demokrasia komavu duniani kuzama katika tatizo hili la u-ndugunaizesheni au u-familianaizesheni  - nepotism. Mimi naliita ‘tatizo’ ingawa katika Marekani mwenendo huo unaonekana kuwa ni kitu chema, na ndiyo sababu hata mwandishi wa kitabu hicho akakipa  jina hilo – In Praise of Nepotism; yaani  Sifa kwa u-ndugunaizeshenip
Rais Kikwete aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze na yeye anarithiwa na MWanawe Ridhwan Kiwkete !

nazungumzia u-ndugunaizesheni kwa mapana na marefu kama vile u-ndugunaizesheni wa waasisi wa taifa (Nepotism of Founders), u-ndugunaizesheni wa wakoloni(Colonial Nepotism), na hata usanii wa u-ndugunaizesheni (The Art of Nepotism).Ni kitabu kinachosisimua, hasa kwa sababu wengi wetu hatutarajii taifa kama Marekani linaloaminika kuwa na demokrasia komavu duniani kuzama katika tatizo hili la u-ndugunaizesheni au u-familianaizesheni  - nepotism. Mimi naliita ‘tatizo’ ingawa katika Marekani mwenendo huo unaonekana kuwa ni kitu chema, na ndiyo sababu hata mwandishi wa kitabu hicho akakipa  jina hilo – In Praise of Nepotism; yaani  Sifa kwa u-ndugunaizesheni.
http://raiamwema.co.tz/ridhiwani-mgimwa-na-ujio-wa-%E2%80%98nepotism%E2%80%99-tanzania

-

No comments: