Saturday 6 December 2014

KUMBU KUMBU YA SHIRIKISHO LA AFRIKA MASHARIKI

Oscar Kambona alifafanuwa kuwa fikra ya Shirikisho la Afrika Mashariki linalotawaliwa na Tanzania sio fikra ya Nyerere bali ni fikra ya Muingereza na ililengwa kuwadhibiti Mau Mau wa Kenya. Ilipo Kuwa Kenya si tishio tena kwa maslahi ya Magharibi, anahoji Kambona, fikra ya Shirikisho ikatupiliwa mbali.
ENDELEA HAPA KUSOMA ZAIDI http://kwaheri.wordpress.com/mlango-wa-kumi-na-tano-fikra-za-kuunda-shirikisho-la-nchi-za-afrika-mashariki/

No comments: