Saturday, 19 September 2015

Kingwendu azidi kuibomoa CCM huko Kibaha

Video ya mwania Ubunge wa Kisarawe kwa tiketi ya CUF/UKAWA, Rashid Mwishehe al maaruf kwa jina la kisanii “Kingwendu Ngwendulile” akijinadi ili achaguliwe kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, dhidi ya wagombea wa vyama vigine.No comments: