Wednesday, 21 October 2015

Balozi Amina aitafutia kura ccm Zanzibar


Makamu Mwenyekiti wa UWT Mstaaf Balozi Amina Salum Ali akiwasalimia Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Mkoa wa Mjini katika mkutano na Mama Mwanamwema  kuwahamasisha Viongozi wa UWT Zanzibar katika kupiga kura kwa Wagombea wa CCM.  
Makamu Mwenyekiti wa Mstaaf wa UWT Zanzibar Balozi Amina Salum Ali, akitowa nasaha zake kwa Viongozi wa UWT kutumia nafasi zao kuwahamasisha Wanawake kukipigia kura Chama cha Mapinduzi kwa Wagombea wao wa Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein na Mgombea Urais wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli na Wagombea wote wa C

No comments: