Monday 23 June 2014

Mkutano Mkuu wa CUF wa kuchagua viongozi

  Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Lipumba, katika mkutano Mkuu wa Chama hicho Ubungo Plaza Dar es Salaam
 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, katika mkutano Mkuu wa Chama hicho Ubungo Plaza Dar es Salaam.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM Philip Mangula katika mkutano mkuu wa CUF
 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, katika mkutano Mkuu wa CUF,  Ubungo Plaza Dar es Salaam. (picha na Salmin Said, OMKR)
Viongozi wakuu wa CUF katika picha ya pamoja na wawakilishi na viongozi wa vyama vya siasa Ubungo Plaza Dar es Salaam. 
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF, ubungo Plaza Dar es Salaam.

No comments: