Monday, 23 June 2014

LIPUMBA AWAFANYIA TAFRIJA VIONGOZI WA BARAZA KUU LA CUF

  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad alizungumza katika hafla maalum ya kuagana na wajumbe wa baraza kuu la uongozi CUF, nyumbani kwa Prof. Lipumba, Kunduchi  Dar es
Salaam.

 Makamu Mwenyekiti wa CUF Mhe. Machano Khamis Ali, alizungumza katika hafla maalum ya kuagana na wajumbe wa baraza kuu la uongozi CUF, nyumbani kwa Prof. Lipumba, Kunduchi  Dar es Salaam.
 Baadhi ya wajumbe wa baraza kuu na waalikwa wengine, wakichukua chakula katika hafla maalum ya kuagana na wajumbe wa baraza kuu la uongozi CUF, nyumbani kwa Prof. Lipumba, Kunduchi  Dar es Salaam.
 Baadhi ya wajumbe wa baraza kuu na waalikwa wengine, wakibadilisha mawazo katika hafla maalum ya kuagana na wajumbe wa baraza kuu la uongozi CUF, nyumbani kwa Prof. Lipumba, Kunduchi  Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad alisalimiana na wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa, ambao tayari wamewasili katika Ofisi kuu za CUF Buguruni kwa ajili ya uchaguzi huo.
Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba, alizungumza katika hafla maalum ya kuagana na wajumbe wa baraza kuu la uongozi CUF, nyumbani kwake, Kunduchi  Dar es Salaam.

No comments: