Monday 17 August 2015

Mafuriko ya Ukawa Kumpokea Mgombea wa Ukawa leo Zanzibar

Lowassa asema yeye ni serkali tatu na masheikh waliotiwa ndani akishika madaraka wataachiwa huru.


Wazanzibari walijitokeza Kumpokea Mgombea Urais wA CCM Mheshimwia Eadward Lowassa leo huko Zanzibar


Wanachama wa CUF na Chadema wlaiomiminika LEo kumlaki
Mheshiwia Lowassa huko Zanzibar
Mheshimiwa Jussa akimkaribisha Mgombea urais wA Ukawa Mheshimiwa Edward Lowassa.

Wamasai wote ambao walikua ni kimbilio la CCM huko Zanzibar sasa upepo umegeuka .

No comments: