Saturday, 19 September 2015

Kutoka Misenyi Bukoba LOWASA kafanya maajabu mengine huko,hapa kuna picha za kilichojiri huko

Kutoka Misenyio Bukoba LOWASA kafanya maajabu mengine huko,hapa kuna picha za kilichojiri huko
 Kwa jinsi mlivyojaa Wanabukoba katika uwanja wa Gymkhana kuanzia leo uwanja huu unaitwa uwanja wa  - John Mrema 


 BUKOBA  kwa mabadiliko katika viwanja vilivyopewa jina la J/mosi 19/9/2015  
 Kuwasumbua Watanzania wanaoishi mipakan juu ya uraia wao ni kosa,ni kukiuka haki na misingi ya raia  Misenyi 
 Ujumbe wa wananchi wa Misenyi Bukoba vijijini leo Jumamosi 19/9/2015 
 Ujumbe wa wananchi wa Misenyi Bukoba vijijini leo Jumamosi 19/9/2015
 Babu na Bibi wa Misenyi Bukoba wakimsikiliza Kwa makini  Leo Jumamosi 19/92015  

No comments: