Monday, 13 April 2015

CHAMA KIPYA CHA SIASA CHAANZISHWA,

CHAMA CHA SIASA KIPYA ,CHAPEWA USAJILI LEO,NACHO CHAAPA KUINGUSHA CCM MWAKA HUU.


 Mwenyekiti  na Muasisi wa Chama cha  Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT),Ramadhani  Semtawa  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni katibu Mkuu
wa Chama hicho,Noel  Antapa
.


 Mwenyekiti  na Muasisi wa Chama cha  Kijamaa na Uzalendo
Tanzania (CKUT),Ramadhani  Semtawa  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi  ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni katibu Mkuu
wa Chama hicho,Noel  Antapa.


Mwenyekiti  na Muasisi
wa Chama cha  kijamaa na uzalendo
Tanzania,Ramadhani  Semtawa  akiwa ameshika katiba ya chama hicho  na Kushoto  ni Katibu Mkuu wa Chama hicho Noel Antapa akiwa katika viwanja va ofisi ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam.PICHA NA EMMANUEL MASSAKA.
 

No comments: