Sunday, 26 April 2015

Maalim Seif azungumza na wagombea watarajiwa wa Ubunge, Uwakishi na Udiwani wa CUF Pemba

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wagombea watarajiwa wa Ubunge, Uwakishi na Udiwani kupitia chama hicho huko ukumbi wa skuli ya Fidel Castro Pemba. Amewataka wagombea hao kujiamini na kuacha kutumia mwega wa viongozi jambo ambalo halitosaidia.

 Baadhi ya wagombea watarajiwa wa Ubunge, Uwakilishi na Udiwani wa CUF Kisiwani Pemba wakimsikiliza Maalim Seif huko Fidel Castro Pemba.

No comments: