Sunday, 19 April 2015

Mkutano wa CUF Jimbo la Kitope

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope.

Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope. (Picha na Salmin Said, OMKR)
  Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope.

No comments: