Friday, 22 January 2016

TANGAZO

Chama cha Wanasheria wa Tanganyika(TLS ) Kimeandaa kongamano kubwa siku ya Jumapili kuanzia saa 8 mchana hadi saa 12 jioni ktk ukumbi wa Ubungo Plaza . WatoĆ” mada ni Mwanasheria nguli na mzalendo kutoka znz  aliekuwa Mwnasheria Mkuu wa Zanzibar OTHMAN MASSOUD OTHMAN na wakili maarufu FATMA AMANI KARUME. mada itakua ni KUFUTWA KWA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR.
LIVE ITV REDIO ONE.
USIPITWE NI UHONDO HUO.

No comments: