Wednesday, 1 October 2014

Do you want Referendum like Scotland ?

Picture of the day !Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika mkutano wa World Economic Forum uliofanyika nchini Uturuki kati ya tarehe 27 - 29 Septemba. Maalim Seif alipata fursa ya kukutana na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Gordon Brown

No comments: