Monday, 20 July 2015

Kafulila na Wenzake wapata nishani ya Tuzo ya uwazi na ukweli
Kafulila na Wenzake wapata nishani ya Tuzo ya  uwazi na ukweli  Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
 Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.
 Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi Tuzo ya  uwazi na ukweli  Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema tuzo ya ubunifu, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises
 Jaji mstaafu Mark Bomani Skafu Saed Kubenea  taasisi ya Dream Success Enterprises Dar es Salaam
 Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi tuzo  Mwandishi Saed Kubenea tuzo ya uwazi na ukweli , ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises Dar es Salaam

 Jaji Mstaafu Mark Bomani katika picha ya pamoja (wa tano kulia ) wakiwa na baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Dream Success Enterprises mmoja wao   ni Joshua Lawrence (kushoto) na  kulia ni Profesa Aldin Mutembei  baada ya kukabidhiwa tuzo hizo  Dar es Salaam jana


 Baadhi ya wananchi walio shiriki
 Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema, akizungumza jambo baada ya kikabidhiwa tuzi hiyo

No comments: