Wednesday, 29 July 2015

Mpasuko wa CCM wawakimbiza Kinana na Nape kukutana na Waandish iwa Habari


Hali iliotokea jana kwa waandashi wa habari kule Dar iliwashangaza wengi , ila Political insiders hawakushangaa baada ya Timu ya Wazee kutumwa na CCM kumsaka Edward Lowassa usiku wa kucha akiwemo Mkapa na Wenzake , walimpigia simu zaidi ya mara tano na kushindwa kujibiwa. Kumbe Mheshimiwa Lowassa alikua amejichimbia kwenye Hoteli moja jijini Dar kulipokua na kikao cha Viongozi wa juu wa Chadema na Ukawa kuweka makubaliano na Mmasai alieamua kukifundisha heshima chama dume. Morani hakutishika wala kuogopa kuelekea kwenye njia yake alioiita safari ya matumaini. Asubuhi yake Lowassa aliibuka pmoja na Viongzi wa Ukawa akiwa tayari kuwaambia kwua CCM sio baba yangu wala mama yangu na kuwaambia Watanzania kuwa MAgeuzi yakishindikana kupatikana ndani ya CCM yatapatikana nje ya CCM .Lowassa alijitokza na Mke wake na kuchukau kadi ya Chadema kuwaacha political establishments kutoamini macho yao .
Ilibidi jioni yake kiako cha CCM cha ndani waanze kuzomeana na kusema Mwenyekiti wetu wa CCM na kundi lake wamekipasua chama chetu.Ikatangazwa kuwa kesho yake CCM watakutana na Waandishi wa habari hapo Makao madogo ya CCM LUMUMBA .Kilichotokea ni tafrani ya nani akutane na waandish ihawa na nini kitaongelewa .Baada ya kukosekana nani ataongea na Waandishi wa habari alitafutwa Bwana Mdogo kwenda kukutana na Waandish iwa habari.kwenye hoteli moja hapo Dar .Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam Ndugu Juma Hamis 'Gadafi' akizungumza na waandishi wa habari kwenye hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam. badala ya kuzungumzia Kuhama wka Lowassa kama waandishi wengi walivyotarajia , Bwana Mdogo huyo alianza kuileta etention kwenye uandikishaji wa wapiga kura na kuitaka tume kuongeza vifaa zaidi vya uandikishaji , na Kusema CCM Dar waitaka tume kuongeza vifaa na rasilmali watu kurahisisha zoezi la uandikishaji. Waandishi hawakumcherewesha Gadafi na kumrudisha kwenye ajenda ya Kuhama kwa Lowassa ndio habari liopo mjini. Hii inanikumbusha mwaka 1995 pale CCM lipoanguka Zanzibar  laiekuwa Waziri wa Mambo ya ndani wa nchi Mheshimiwa Ali Ameir  Mohammed alipohojiwa na Sauti ya ujerumani kuwa CCM imeanguka Zanzibar, a;lichofanya Mheshmiwa ALi Ameir na kuilalamikia tume ya uchaguzi na kusema uchaguzi haukua huru na haki , lakini baada ya masaa machache matokeo yalipogeuzwa na kuifanya CCM ndio ilioshinda Mheshimiwa ALi Amier alikubali tena kuhojiwa na Deustche Welle na kullizwa vipi matokeo alisema ni huru na haki.Sikushangaa Kizaa zaa kilichoikumba CCM na idara za usalama kwua zimegawanyika nyengine zinamsupport Moran iwa Kimasai na Nyengine zikiwa watiifu kwa Watawala . Kilichoenea kwenye social media ndio kiliimaliza CCM bila ya kujijua licha ya kua umeme ulikatwa nusu ya nchi ghfala wakati TV zinatangaza kuwa Lowassa anachukua kadi ya CCM walioko ughaibuni waliweza kuyarusha matukio hayo kwa mitandao ya simu haraka huko nyumbani na miko yote iliamka kwua Lowassa ameshaipasua CCM. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Bw. Juma Simba Gadafi  alisema anawashukuru waandishi kwa ushirikiano waliounesha  kwenye mkutano wa kumtambulisha mgombea wa urais  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika tarehe 14 Julai 2015 katika viwanja vya Mbagala Zakheem. atika mkutano huo ambao waandishi wengi walionekana kuwa na  shauku ya kutaka kujua maoni ya  CCM juu ya kuondoka kwa Edward  Lowassa , Katibu wa Siasa na Uenezi  wa CCM mkoa wa Dar es Salaam alisema “Lowasa aliingia mwenyewe CCM bila shinikizo na kutoka mwenyewe hivyo maamuzi yake hayaifanyi CCM ishindwe kuendelea kutekeleza majukumu yake. LA kutisha zaidi political insiders wanasema kuna mabalozi tisa wapo njiani kujiunga na ukawa kati ya hao wawil ini WAzanzibari Muda wowote kuanzia sasa Mark Mwandosya, Balozi Juma Mwapachu, Pamoja na makada wengine watajiunga na Ole Medeye kujiunga rasmi na CHADEMA.Kizaa zaa cha kuwaweka kizani nusu ya Waatanzania ni bure sasa hivi style hiyo hiwork any more pale hata wangezima umeme nchi mzima kuna techonology ya Simu unaweka apps ya periscope hapo kwenye tukio followers wako world wide wanaona live .CCM kubalini mageuzi ya amani musijekuigeuza Bongoland kama Kenya mwaka 2007.

No comments: