Wednesday, 28 January 2015

SERIKALI YA CCM IJIFUNZE KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU

Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba.
Gari lililombeba Prof.Lipumba.
Gari lililombeba Prof.Lipumba likitaka kuondoka kuelekea Hospitali ya UN CLINIC kinondoni baada ya Presha kushuka.
Gari lilliombeba la Polisi likiwa limeondoka lango kuu la kituo kikuu cha Polisi cha Kova.
Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba amekimbizwa leo Hospitali ya  UN Clinic ya Kinondoni, Dar,  baada ya presha kushuka akiwa makao makuu ya polisi kujibu shutuma za kuandamana jana.

No comments: