Monday, 30 March 2015

Mkutano wa CUF Makunduchi

Maalim Seif Ahutubia Mkutano wa Hadhara Makunduchi.

 
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipokelewa na baadhi ya viongozi wa chama hicho alipowasili viwanja vya Jamhuri, Makunduchi. Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifurahi na mtoto aliyevalia sare za CUF, akiwa katika ziara ya kutembelea matawi na barza za CUF Makunduchi.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikagua tawi jipya la CUF Shakani, baada ya kuliwekea jiwe la msingi.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia mkutano wa hadhara wa chama hicho katika viwanja vya Jamhuri, Makunduchi. Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha ufunguo wa kuifungua Zanzibar aliokabidhiwa na wazee wa CUF Makunduchi katika viwanja vya Jamhuri, Makunduchi.

Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui, akisisitiza jambo wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Jamhuri Makunduchi.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimkabidhi kadi ya CUF mmoja kati ya wanachama wapya waliojiunga na chama hicho katika viwanja vya Jamhuri, Makunduchi.
 Kada wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Wilaya ya Kusini Bw. Yahya Mkongoa, akimkabidhi Maalim Seif kadi ya CCM na kukabidhiwa kadi ya CUF katika viwanja vya Jamhuri, Makunduchi.
Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano wa hadhara wa Chama hicho uliofanyika viwanja vya Jamhuri Makunduchi.
Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano wa hadhara wa Chama hicho uliofanyika viwanja vya Jamhuri Makunduchi.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, pamoja na watendaji wengine wa chama hicho wakiwa wamekaa kwenye barza ya akinamama Makunduchi. (picha na Salmin Said, OMKR).

No comments: